MICHEZO Rey Misterio Sr, mwanamieleka mashuhuri wa Mexico na baba mdogo wa nyota wa WWE Rey Mysterio Jr, amefariki dunia mnamo Desemba 20, 2024, akiwa na umri wa miaka 66.
Habari hizo zimethibitishwa na familia yake na promota wa mieleka kutoka Mexico Lucha Libre AAA Worldwide. Misterio Sr, aliyezaliwa Miguel Ángel López Díaz, alikuwa mtu mashuhuri katika eneo la lucha…